Msanii wa Hip-Hop ambae hivi karibuni ameachia Nyimbo Mpya ya “Dangerous Desire” Rapcha ametangaza kuwa sasa hayupo chini ya Bongo Records ya P-Funk Majani. Amesema hayo kwenye mahojiano kwenye kipindi cha Crown FM.
Tip of the Day - Music
At the 2025 Trace Awards & Summit in Zanzibar, Tanzania, Nandy won Best Artist Tanzania, Diamond Platnumz won Best Global African Artist, and Zuchu also received recognition.