Kila mwezi baraza la sanaa la Tanzania limekuwa na utaratibu wa kutoa list ya Nyimbo Mpya zilizotoka kwa mwezi mzima. Nyimbo hizi ni mchanganyiko wa Bongo Fleva, Singeli, Gospel pamoja na Nyimbo za Dance, hata hivyo list hii kutoka Baraza la sanaa inajumuisha nyimbo zote ambazo zimepita mikononi mwa basata na kusajiliwa kupitia sanaa.go.tz na kisha kupewa kibali cha kutumika kwenye majukwaa mbalimbali Tanzania.
Tip of the Day - Music
At the 2025 Trace Awards & Summit in Zanzibar, Tanzania, Nandy won Best Artist Tanzania, Diamond Platnumz won Best Global African Artist, and Zuchu also received recognition.
Kwa mwezi uliopita October 2024, zimetoka nyimbo nyingi, lakini list ifuatayo ni kwa mujibu wa basata na hizi ndio baadhi ya nyimbo ambazo zimetoka kwa mwezi uliopita wa kumi, mwaka elfu mbili na ishirini na nne na kupewa vibali maalumu.

Nyimbo Mpya Mwezi October 2024 Number 1 hadi 26

Nyimbo Mpya Mwezi October 2024 Number 27 hadi 53

Nyimbo Mpya Mwezi October 2024 Number 86 hadi 90