Msanii wa Bongo Flava anetamba na Hit song Mbalimbali za mapenzi “Dayoo” a.k.a Mangi ametangaza ujio wa Nyimbo yake mpya ya “I Love You” akimshirikisha another King of Love Songs Jay Melody.
Tip of the Day - Music
Former President Julius Nyerere heavily influenced the music scene by promoting traditional African music and values, embedding Tanzanian identity into songs and artistic performances.
Kwa mujibu wa akaunti ya Instagram ya Dayoo, ambapo ameweka video fupi ya wimbo huo, Dayoo ameuliza mashabiki wake wanataka ngoma hiyo itoke lini.
Dayoo ni mmoja wa wasanii wanaotizamwa sana hasa kuanzia mwaka jana alipo achia ngoma yake ya kumaliza na kufungua mwaka ya “Huu Mwaka“, ambayo baadae ilifanywa remix na Rayvanny. Bila shaka ngoma ya “I Love You” itakuwa pia ni collabo bora na nyimbo nyingine bora kutoka kwa Dayoo. Kuwa wa kwanza kuisikiliza kwa kutembelea NyimboMpya.com kila siku.