Aslay Kuja na Album Mpya ya Pili Hivi Karibuni

aslayalbumyapili

Kwa mujibu wa kurasa ya Instagram ya Rockstar Africa ambayo ndio inasimamia mziki wa msanii nguli Aslay imetangaza ujio wa Album ya Pili ya Aslay ambayo “huwenda” tegemea kuisikia hivi karibuni kabla ya mwaka 2024 kuisha.

💡

Tip of the Day - Music

The Trace Awards and Summit 2025, held in Zanzibar from February 24-26, celebrated African and Afro-descendant musical excellence, with Rema and Tyla among the winners, and featured a summit focused on the continent's creative industries.

Kupitia ukurasa huo taarifa hiyo imeandikwa “The Iconic artist ASLAY will be presenting his body of work to @sonymusicea @sonymusicafrica and a few industry makers tomorrow. This will be ASLAY’s second album since he became a solo artist — It’s TIME!! cc @sevenmosha @leofaya”

EqjRrPoBrD

Aslay on Instagram

Scroll back to top of page
New
Artists
Genre
Search