Wewe ni Msanii? Tupe nyimbo yako tukuwekee kwenye Digital Platforms zote Duniani. - Bekaboy

1 year ago 1.1K
Are you a music lover looking for the latest track to add to your playlist? Look no further. Get ready for an unforgettable musical experience as we present a song by Wewe ni Msanii? Tupe nyimbo yako tukuwekee kwenye Digital Platforms zote Duniani. Bekaboy.

Wewe ni Msanii? Tupe nyimbo yako tukuwekee kwenye Digital Platforms zote Duniani. Bekaboy


Katika kutambua Muziki Kama Biashara, Blog yako Pendwa ya Muziki nchini Tanzania (BEKABOY MUSIC), Tunakuletea huduma Rahisi kabisa ya kuwezesha kuweka nyimbo zako kuwepo katika masoko yote makubwa ya muziki Duniani (Spotify, Boomplay, Deezer, Apple Music, Itunes, Pandora, Youtube Music, Tidal, Shazam, Amazon Music na nyingine nyingi).

Kizuri zaidi huduma hii ni Bure kabisa, Tunakuhakikishia huduma bora kabisa, na uharaka katika kuweka nyimbo zako (ndani ya saa 12 nyimbo itakuwa tayari kwenye digital Music platforms zote)

Kama wewe ni msanii na unahitaji kufanya kazi ya Distribution na sisi, Tucheki Whatsapp kwa namba +255764481122 au email ([email protected]) tutakupa maelekezo, pia unaweza kutembelea website yetu hapa 👉👉 BEKABOY DISTRIBUTION

Download Now 1.1K
Install Android App
Developer: Tanzania Tech Media
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot