Wewe ni DJ? Shiriki shindano hili Ushinde Milioni 7, Jiandikishe hapa - Bekaboy

1 year ago 685
Are you a music lover looking for the latest track to add to your playlist? Look no further. Get ready for an unforgettable musical experience as we present a song by Wewe ni DJ? Shiriki shindano hili Ushinde Milioni 7, Jiandikishe hapa Bekaboy.

Wewe ni DJ? Shiriki shindano hili Ushinde Milioni 7, Jiandikishe hapa Bekaboy


Wewe ni DJ? Shiriki shindano hili Ushinde Milioni 7, Jiandikishe hapa

Mshindi wa Shindano la Mdundo.com DJ Battle Kutuzwa Shilingi Milioni 7 za Tz
2021 Mdundo.com DJ Battle inatazamiwa kuanza nchini Tanzania siku ya Ijumaa, tarehe 19 Novemba, 2021. Shindano hilo litakalodumu kwa wiki 4, litamshuhudia DJ mmoja akitawazwa kuwa ‘King of The Turntable.’

Mshindi atakabidhiwa mkataba wa udhamini wenye thamani ya Tsh 7,000,000. Mixtape ya atakeyeshinda itapata kuchezwa kwenye redio na pia kwenye hafla kubwa ya muziki.

Ni Nani Anayestahiki?

Shindano liko wazi kwa DJs wote. Aina yoyote ya muziki inaweza kuingia kwenye shindano, iwe ni Afropop, Hausa, Amapiano, Hiphop, Gospel…e.t.c

Jinsi ya Kutuma Maombi?

Tembelea mdundodjbattle.com ili kujiandikisha na kuanza kupakia Mix.

Download Now 685