Wamisionari: Maombi ni Muhimu Zaidi kwa Watu wa Haiti
Top Stories
Wakati juhudi za kuokoa watu waliofunikwa na kifusi nchini Haiti zikiendelea, Wamisionari wameomba watu wengine ulimwenguni kuzidi kuiombea Haiti.
Watu wasiopungua 1,400 wameripotiwa kufa, na mamia bado hawajapatikana. Tetemeko la ardhi lililotokea wikiendi ya wiki iliyopita liliangusha mamia ya majengo, nyumba, hospitali, na shule.
Chanzo: CBN
Related Topics:Top Stories
Click to comment