Uingereza: Mhubiri Akamatwa kwa Kuhubiri Ndoa Kibiblia

1 year ago 655
Uingereza: Mhubiri Akamatwa kwa Kuhubiri Ndoa Kibiblia. Get ready for an unforgettable musical experience as we present new song by Uingereza: Mhubiri Akamatwa kwa Kuhubiri Ndoa Kibiblia Stream and download below.

Uingereza: Mhubiri Akamatwa kwa Kuhubiri Ndoa Kibiblia Song


Mhubiri wa Injili Mtaani (street preacher) huko nchini wa Uingereza alikamatwa na polisi kaskazini magharibi mwa London Ijumaa iliyopita na kuwekwa mahabusu usiku mzima kwa sababu alihubiri ukweli wa kile Biblia inasema kuhusu ndoa halali za kwa mujibu wa Biblia.

Mtandao wa Breitbart uliripoti kuwa Mhubiri John Sherwood na Mchungaji mwenza Peter Simpson wa Kanisa la Penn Free Methodist walikuwa wakihubiri nje ya Kituo cha Uxbridge Underground Station kilichoko katika eneo la makazi ya Waziri Mkuu Boris Johnson.

Sherwood, mhubiri anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 70, alikuwa akiwahubiria watu kuhusu ndoa ya kweli ambayo Mungu anapendezwa nayo kibiblia kutoka kwenye mistari ya mwisho inayopatikana katika kitabu cha Mwanzo 1 ( Biblia Agano la Kale).

“Mpango wa Mungu katika kuumba wanadamu ulikuwa kuweka wanadamu katika familia, inayoongozwa na baba na mama, sio na baba wawili au mama wawili,” alisema.

“Tofauti kati ya wanadamu ni wa jinsia mbili tu, mwanamume na mwanamke, waliotengenezwa kwa mfano wa Mungu, ndio kiini cha utaratibu wa Mungu ulioumbwa.”

Simpson alisema maafisa kadhaa wa polisi walitokea na kuanza kumwambia Sherwood kwamba walipokea malalamiko matatu juu ya mahubiri yake. Afisa mmoja aliripotiwa kumuonya asiendelee kuhubiri chochote kinachoashiria kuchukia ushoga.

Baada ya kuzungumza na polisi, Sherwood alianza tena kuhubiri, akiongelea juu ya uhuru wa kujieleza, lakini, watu kadhaa waliokuwa karibu na umati huo walipiga kelele kwamba mahubiri yake yalikuwa ni ya kuchukia ushoga na yenye maneno ya chuki, na maafisa hao wa polisi walirudi katika eneo hilo na kumkamata.

Arrested for preaching from the Bible in North West London. Pastor Sherwood is 75, notice how the arresting officer kicks him? pic.twitter.com/iwAojPMaNm

— Christian Concern (@CConcern) April 27, 2021

Chanzo: faithwire

Download Now 655