TB Joshua Azikwa Leo Lagos Nigeria

2 years ago By Nyimbo Mpya 1.1K
Are you a music lover looking for the latest track to add to your playlist? Look no further. Get ready for an unforgettable musical experience as we present a song by TB Joshua Azikwa Leo Lagos Nigeria.

TB Joshua Azikwa Leo Lagos Nigeria


MWINJILISTI Maarufu nchini Nigeria TB Joshua amezikwa huko Lagos baada ya wiki moja ya ibada za mazishi. Maelfu ya waombolezaji walihudhuria ibada ya mazishi katika Sinagogi lake, Kanisa la Mataifa Yote (SCOAN) katika eneo la Ikotun huko Lagos.

Temitope Balogun Joshua, alifariki akiwa na umri wa miaka 57. Alifariki mnamo Juni 5 baada ya kuugua kwa muda mfupi, kanisa lilisema. TB Joshua aliheshimiwa na watu kutoka ulimwenguni kote na makumi ya maelfu ya watu walihudhuria huduma zake za kila wiki.

Kuinuka kwa mhubiri huyo mwenye haiba mwishoni mwa miaka ya 1990 sanjari na mlipuko wa vipindi vya “miujiza” vilivyofanywa kwenye Runinga ya Nigeria na
wachungaji anuwai.

Kanisa lake lilidai kuponya kila aina ya magonjwa, pamoja na VVU/Ukimwi na kuvutia watu kutoka kote ulimwenguni.

Chanzo: Habari Leo

Download Now 1.1K
Install Android App
Developer: Tanzania Tech Media
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot