Pablo Franco Martín kocha mpya wa Simba Sc — citiMuzik

2 years ago By Nyimbo Mpya 1.2K
Are you a music lover looking for the latest track to add to your playlist? Look no further. Get ready for an unforgettable musical experience as we present a song by Pablo Franco Martín kocha mpya wa Simba Sc — citiMuzik.

Pablo Franco Martín kocha mpya wa Simba Sc — citiMuzik


Pablo Franco Martín kocha mpya wa Simba Sc

Pablo Franco Martín kocha mpya wa Simba Sc

Pablo Franco Martín is a Spanish professional football manager, currently serving as the Head Coach for Simba Sports Club, which he joined on 6th November 2021.

RELATED: Harmonize – High School FULL ALBUM

MABINGWA wa Tanzania mara nne mfululizo, Simba SC a.k.a Mnyama wameingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Pablo Franco Martín raia wa Hispania kukinoa kikosi hicho kuanzia Novemba 6, 2021.

Pablo anachukua nafasi ya Didier Gomes Da Rosa raia wa Ufaransa ambaye mkataba wake ulisitishwa wiki mbili zilizopita baada ya makubaliano ya pande mbili.

Kabla ya kujiunga na Simba alikuwa anafundisha timu ya Al Qadsia SC ya Quwait kuanzia mwaka 2019 hadi 2021.

Pablo mwenye umri wa miaka 41, mzaliwa wa Madrid, alikuwa kocha Msadizi wa Real Madrid mwaka 2018 chini ya Kocha Julen Lopetegui na baadae Santiago Solari.

RELATED: Alikiba – Only One King FULL ALBUM

Mwaka 2015 alikuwa kocha wa Getafe inayoshiriki Ligi Kuu ya Hispania.

Also, check more tracks from Harmonize;

Download Now 1.2K
Install Android App
Developer: Tanzania Tech Media
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot