Tommy Flavour – Jah Jah LYRICS Ft Alikiba
Tommy Flavour – Jah Jah LYRICS Ft Alikiba
Oh Baba, Oh Baba
Naomba niongoze
Oh Jah Jaha, Oh Jah Jaha,
Nitakufata nisipotee
Kwenye mabalaa umenipitisha
Kwenye shida na njaa umenilisha
Wakatika niende chini wanipandisha
Mapenzi yako siwezi kufananisha
Bora nikushukuru Uuuh! Uhh! Uhh!
Acha nikushukuru Uuuh! Uhh! Uhh!
Bora nikushukuru Uuuh! Uhh! Uhh!
Acha nikushukuru Uuuh! Uhh! Uhh!
Baba baba babaa
Oluwa Oh Jah Jah
Wanijua kiundani
Ukinilinda maishani yeah
Sikulipi chochote
Sifuati yako yote
Ila bado ujaniacha, uko na mimi
Kwenye mabalaa umenipitisha
Kwenye shida na njaa umenilisha
Wakatika niende chini wanipandisha
Mapenzi yako siwezi kufananisha
Bora nikushukuru Uuuh! Uhh! Uhh!
Acha nikushukuru Uuuh! Uhh! Uhh!
Bora nikushukuru Uuuh! Uhh! Uhh!
Acha nikushukuru Uuuh! Uhh! Uhh!
Baba baba babaa
Oh Jah Jah (Jah Jah)
Oh Jah Jah (Jah Jah)
Acha nikushukuru (Jah Jah)
Acha nikushukuru (Jah Jah)
Acha nikushukuru Uuuh! Uhh! Uhh!
Acha nikushukuru Uuuh! Uhh! Uhh!
Acha nikushukuru Uuuh! Uhh! Uhh!
Also, check more tracks from Alikiba;