TEMITOPE BALOGUN JOSHUA, (TB Joshua) AFARIKI DUNIA.
Top Stories
Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu kama TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57.
Mchungaji huyo Amefariki saa chache zilizopita baada ya kumaliza Huduma ya kichungaji katika Kanisa lake Jijini Lagos.
TB Joshua Ni mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN) na Kituo cha Televisheni cha Emmanuel.
Chanzo: Jamii Forum
Related Topics:Top Stories
Click to comment