Madhara ya Kiroho ya Kutazama Picha Chafu (Ponography)

3 years ago By Nyimbo Mpya 3.7K
Are you a music lover looking for the latest track to add to your playlist? Look no further. Get ready for an unforgettable musical experience as we present a song by Madhara ya Kiroho ya Kutazama Picha Chafu (Ponography).

Madhara ya Kiroho ya Kutazama Picha Chafu (Ponography)


Athari 2 za Kiroho za Kutazama Picha Chafu (Ponography)

Kuna athari kubwa sana kwa mtu anayeangalia picha chafu, Pia kuwa Katika magroup ambayo yanajadili Mambo machafu.

Itakuharibu nafsi yako pia inafungua mlango wa roho chafu za uzinzi, uasherati kuingia ndani yako na kuanza kuyaendesha maisha yako.

1. Kupoteza kumbukumbu katika katika baadhi ya mambo.
Watu wengi tofauti ambao wameathirika na tabia hii wamethibitisha kuwa wamekuwa wakipoteza kumbukumbu kwa baadhi ya mambo.

2. Uchumi na Maswala ya kifedha kuvurugika.
Kwasababu tabia hii huendeshwa na roho za kishetani walio wengi wenye tabia hizi Uchumi wao umevurugwa.

Mithali 29:3
Apendaye hekima humfurahisha babaye; Bali ashikamanaye na makahaba hutapanya mali.

Kuanza itakuwa rahisi lakini kuacha siyo Jambo rahisi, Kijana aliyekuwa ameathirika na tabia hii alitueleza jinsi anavyoteseka na anashindwa kutoka Katika kifungo hicho. Na mwanzoni alikuwa ni mtu mzuri wa imani lakini alipoanza kutazama akaiacha Imani. Kwahiyo hata Kama umekuwa ukienda Kanisani lakini umekuwa ukitazama picha hizo fahamu kuwa upo nje ya njia ya Mungu, Hata Kama umeoa au kuolewa hutakiwi kutazama picha/video chafu za ngono.

Ni rahisi vile vitu unavyo tazama kukusukuma nawe Kuanza kuweka kwenye matendo. Shetani atayavuruga maisha yako kabisa hutaweza kufanikiwa kufikia kusudi la kuumbwa kwako.

Pengine nawe unayesoma ujumbe huu umekuwa Katika kifungo hiki unaweza kufunguliwa na kuwa huru kabisa, Ipo Nguvu ya Mungu ya kukufungua, kazi yako ni kuamua kwamba nataka kugeuka. Ubaya wa makundi yanayojadili Mambo machafu yatauvuruga mwenendo wako.

1 Wakorinto 15 : 33
Msidanganyike; Mazungumzo mabaya huharibu tabia njema.

Kama wewe una maono katika Maisha Yako, lazima utajiepusha na tabia ya kuangalia ponography kwasababu nje ya hapo utafikia maono yako kwa shida au unaweza usifikie kabisa.

Kila tendo analotenda mwanadamu atatoa hesabu yake siku ya hukumu, hivyo jiandae kama hutaki kubadilika.

Kama Unahitaji msaada wa ushauri na Maombi juu ya kifungo hiki waweza tushirikisha inbox ili tushirikiane kuomba kwaajili yako. +255757000077, Mungu awabariki nyote.

Chanzo: WORLD MISSION

Download Now 3.7K
Install Android App
Developer: Tanzania Tech Media
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot