Huu Ndio UNABII wa Mambo Yanayokuja TANZANIA

3 years ago By Nyimbo Mpya 1.5K
Are you a music lover looking for the latest track to add to your playlist? Look no further. Get ready for an unforgettable musical experience as we present a song by Huu Ndio UNABII wa Mambo Yanayokuja TANZANIA.

Huu Ndio UNABII wa Mambo Yanayokuja TANZANIA


HUU NDIO UNABII WA MAMBO YANAYOKUJA TANZANIA

Anaitwa Rihana Samwely ni binti wa miaka 23 mzaliwa wa Mbeya TANZANIA ambaye kwasasa yupo Omani tarehe 16 na 20 Machi 2021 MUNGU alimpa unabii juu ya nchi yake ya TANZANIA na kumsihi afikishe kwa watanzania wote hivyo kwa kutii agizo la MUNGU huku akiamini yeye ana njia ya kulifikisha kwa watoto wake na kuleta mabadiliko anayoyataka.

Rihana Samwely aliitwa kwenye huduma akiwa huko huko Omani japo alikuwa akiogopa sana kwasababu kwa sasa ana umri mdogo akisema itawezekanaje lakini Mungu alikua akimwambia soma Yeremia na kuna mateso aliyapitia mpaka akakubali kutii kutoa unabii huu na ndipo akapata amani kwakua taarifa hii ilikuwa ngumu kwake akiogopa sana kuitoa. MUNGU anaipenda TANZANIA.

Usiache kuweka maoni yako na KU-SUBSCRIBE ili uendelee kupokea updates nyingine kutoka Gospo Media, Amen!

Download Now 1.5K
Install Android App
Developer: Tanzania Tech Media
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot