Ashery Willy Ametuletea Video Mpya ‘Mimi na Wewe’. itazame
Kutoka kwenye Extended Playlist yake mpya inayoitwa LOVE STORY Tanzania mwimbaji wa Nyimbo za Injili Ashery Willy time hii ametuletea video mpya ya wimbo unaoitwa ‘MIMI NA WEWE’ kutoka EP hiyo. Bonyeza play kutazama, Barikiwa!
Connect:
WhatsApp: +255 656 167 697
Instagram: @asherywilly
Youtube: Ashery Willy