Nigeria: Pasta Azindua Chupi na Sidiria Zenye Picha Yake Kuwasaidia Wasichana na Wanawake Walio Singo Kupata Waume wa Kuwaoa

2 years ago By Nyimbo Mpya 1.8K
Are you a music lover looking for the latest track to add to your playlist? Look no further. Get ready for an unforgettable musical experience as we present a song by Nigeria: Pasta Azindua Chupi na Sidiria Zenye Picha Yake Kuwasaidia Wasichana na Wanawake Walio Singo Kupata Waume wa Kuwaoa.

Nigeria: Pasta Azindua Chupi na Sidiria Zenye Picha Yake Kuwasaidia Wasichana na Wanawake Walio Singo Kupata Waume wa Kuwaoa


Pasta Dr J.S. Yusuf wa Kanisa la Touch for Recovery Outreach International mjini Abuja nchini Nigeria amezindua nguo za ndani na sidiria zenye chapa ya picha yake ili kuwasaidia wanawake walio singo na wanaotamani kuolewa.

Kwa mujibu wa pasta Dr J.S. Yusuf, aliagizwa na Mungu kuzindua chupi hizo za ‘baraka’ ili kufungua milango ya ndoa katika Mwaka huu Mpya.

Mchungaji huyo alinukuu mstari kwenye kitabu cha Hesabu 23:20 unaosema“Tazama nimepokea amri ya kubariki, naye amebariki, wala siwezi kubadili.”

Chupi hizo zinasemekana pia kuwasaidia wanawake kujikinga na magonjwa na kupata bahati njema wakiwa na wanaume.

Chanzo: TUKO

Download Now 1.8K
Install Android App
Developer: Tanzania Tech Media
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot