Entertainment

Nairobi Ndio Nyimbo Bora Kwa Mwaka 2025 Tanzania na Kenya

Nairobi Ndio Nyimbo Bora Kwa Mwaka 2025 Tanzania na Kenya

Kama kuna list ya wasanii ambao wamenyoosha kinomanoma kwa mwaka 2025 basi @marioo_tz ni mmoja kati ya hao, ikiwa ni kutokana na mafanikio ambayo ameyapata katika career yako kwa mwaka huu hasa kupitia album yake ya The God Son.

Mtandao wa Apple Music umetoa orodha ya nyimbo 100 zilizofanya poa kwa kusikilizwa zaidi kwa mwaka 2025 katika mataifa mbalimbali ambayo mtandao huo unatumika zaidi, kwenye orodha hiyo wimbo wa Nairobi umeshika nafasi ya kwanza katika mataifa ya Kenya na Tanzania.

Tumeianza December, mwezi wa mwisho wa mwaka, upi ni wimbo bora kwa upande wako kwa mwaka huu wa 2025 so far!?

New
Browse
Explore
Genre
Artists