Mkongwe Christopher Mwahangila Kaachia Video Mpya ‘Kuna Nguvu’ itazame
Ni mkongwe kutokea Tanzania mtumishi wa Mungu Christopher Mwahangila ambae time hii ametuletea video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Kuna Nguvu’. Bonyeza play kutazama, Barikiwa!
Christopher Mwahangila – Kuna Nguvu
Connect:
WhatsApp: +255 716 620 000
Facebook: Christopher Mwahangila
Instagram: @mwahang
Youtube: Chris Mwahangila