Marioo - My Life (Official Video)

10 months ago By Marioo 945
Are you a music lover looking for the latest track to add to your playlist? Look no further. Get ready for an unforgettable musical experience as we present a song by Marioo My Life (Official Video).

Marioo My Life (Official Video)Marioo - My Life Out now: http://africori.to/thekidyouknow Lyrics Wanasemaga nabiii hakubaliki kwao “kwaoo” Hata mi walikuwepo wakunipinga kitaani, Walisemaga wahenga eti Mtu kwaoo “kwaoo” Wachache walikuwepo wakaniamini kitaani, aah Toka home mpaka studio kwa mguu,viwalo vipya kutupia sikuuu, Nguo mbaya imepauka kuu kuu, kula yangu anaijua aliye juu uuh uuh, mmh yeeeh aah, Mungu hakunyimi vyote akikupa kilema atakupa na mwendo, sawa sijasoma akanipa kipaji ntimize malengo, never, never, never never give up Never, never, never never give up never, never, never never give up Never, never, never never give up Ilikua kama movie, ila tunaishi kwa love Waliotukwamishaga tunaln kama changamoto Leo imekua kama movie,ila tunaishi kwa raha Tunamipila na kila zaga ujana maji ya moto Asante sana kwa kunifanya super star, Leo najulikana kila kona ya mtaaa Ahsante mama mwanao kipenzi cha watu, Napendwa sana kona zote za mtaa Mungu hakunyimi vyote akikupa kilema atakupa na mwendo, sawa sijasoma akanipa kipaji ntimize malengo, never, never, never never give up Never, never, never never give up never, never, never never give up Never, never, never never give up Follow Marioo: https://www.instagram.com/marioo_tz/ https://tiktok.com/@marioo_bad https://twitter.com/tz_marioo https://open.spotify.com/artist/4ZTqTkO2kj1doQrbqQ5KEe https://music.apple.com/za/artist/marioo/1469946990 https://www.facebook.com/thisismarioo/ More from Marioo: Dear Ex - https://www.youtube.com/watch?v=hyAxW7_xBnc Naogopa (ft. Harmonize) - https://www.youtube.com/watch?v=LJONP5YAokU Mi Amor (ft. Jovial) - https://www.youtube.com/watch?v=aU9Gmomi02Q Beer Tamu (ft. Tyler ICU, Abbah Process & Visca) - https://www.youtube.com/watch?v=J5Ka53RZUtE WOW - https://www.youtube.com/watch?v=HAB1rCi66ME #marioo #mylife #thekidyouknow
Download Now 945
Install Android App
Developer: Tanzania Tech Media
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot