JOEL LWAGA ameachia EP mpya “Trust”
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Joel Lwaga amechia EP yake mpya inayobebwa kwa jina la TRUST ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo tano ikiwemo MIFUPANI, SPECIALIST, NIVUSHE, NITAKUAMINI TU na OGADOH.
EP hii kwasasa inapatikana kwenye mtandao wa muziki wa Boomplay, karibu kusikiliza, Ubarikiwe!