Jeshi la polisi Mbeya: Kila Kanisa linajilinda wakati wa ibada

2 years ago By Nyimbo Mpya 662
Are you a music lover looking for the latest track to add to your playlist? Look no further. Get ready for an unforgettable musical experience as we present a song by Jeshi la polisi Mbeya: Kila Kanisa linajilinda wakati wa ibada.

Jeshi la polisi Mbeya: Kila Kanisa linajilinda wakati wa ibada


Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limesema kila kanisa au taasisi ya kidini mkoani humo lina vijana maalum wanaosimamia masuala ya usalama wa waumini wao wakati wa ibada na hakuna askari wa jeshi hilo anayeruhusiwa kuingia ndani ya kanisa lolote kwa ajili ya kulinda usalama wa waumini.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ameyasema hayo wakati akitolea ufafanuzi kuhusu uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jeshi Polisi mkoani Mbeya jana liliwakamata na kuwazuia watu waliovalia sare za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kushiriki ibada ya Jumapili katika kanisa katoliki la Bikira Maria wa fatima, Parokia ya Mwanjelwa jijini Mbeya.

Chanzo: ITV

Download Now 662
Install Android App
Developer: Tanzania Tech Media
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot