Goodluck Gozbert ameachia albamu ya Kampeni
Top Stories
Mwimbaji maarufu wa muziki wa Gospo nchini Tanzania Goodluck Gozbert ameachia albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la KAMPENI ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo 10 zenye nguvu ambayo kwasasa inapatikana Exclusive kwenye Boom Play. Isikilize yote hapa chini, Barikiwa.
Related Topics:Top Stories
Click to comment