Filamu nyingine Tanzania yaingia Netflix — citiMuzik

1 year ago 750
Are you a music lover looking for the latest track to add to your playlist? Look no further. Get ready for an unforgettable musical experience as we present a song by Filamu nyingine Tanzania yaingia Netflix — citiMuzik.

Filamu nyingine Tanzania yaingia Netflix — citiMuzik


Filamu nyingine Tanzania yaingia Netflix

Filamu ya Binti iliyoandaliwa na director Seko Shamte kupitia Blackunicorn Studios, itaanza kuonekana tarehe 7 mwezi wa kwanza mwakani.

RELATED: Sauti Sol’s Chimano announces himself as a gay man

Seko Shamt amesema ni license ya kuonekana ulimwengu kote (Global acquisition) na siyo Africa tu, kwa hiyo watu wote wenye netflix duniani watapata fursa ya kuingalia.

Binti ilishinda tuzo ya filamu bora mwaka 2021 kwenye ZIFF na inaonekana Netflix wameona ina kiwango bora inayostahili kuonekana kwenye platform yao.

Itakuwa ndiyo filamu ya kwanza iliyonadaliwa hapa hapa nyumbani, yenye waigizaji wa hapa nyumbani kuwepo kwenye Platforrm hiyo yenye subscribers millioni 209, duniani kote.

Filamu nyingine Tanzania yaingia Netflix

Source: WasafiTv

Also, check more tracks from Zuchu;

Download Now 750
Install Android App
Developer: Tanzania Tech Media
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot