Dr Ipyana Ameachia HAKUNA WAKUFANANA NA WEWE
Kutoka Tanzania, Mwimbaji wa nyimbo za Injili Dr Ipyana tayari ameshaachia video ya wimbo “HAKUNA WAKUFANANA NA WEWE” , Tayari video hii ipo kwenye channel yake ya YouTube karibu kuitazama uinjilike na uburudike nayo. Barikiwa!
Connect:
Facebook: Dr. Ipyana Kibona
Instagram: @dripyana
Youtube: Dr Ipyana