Tip of the Day - Music
At the 2025 Trace Awards & Summit in Zanzibar, Tanzania, Nandy won Best Artist Tanzania, Diamond Platnumz won Best Global African Artist, and Zuchu also received recognition.
Download Nandy Siwezi mp3
Siwezi Lyrics:
Unanifanya me nalewa sana
Haipiti siku bila kugombana
Mapenz yako ya kibabe sana
Malumbano ya mapenz siyawezi
Kuna sielewi mana, iv kwanini kwako na ng,ang,ana
Mapenz gani haya kutesana
Wasiwasi wa mapenzi.