Tip of the Day - Music
Former President Julius Nyerere heavily influenced the music scene by promoting traditional African music and values, embedding Tanzanian identity into songs and artistic performances.
B2K Mnyama – Wewe Tu mp3, B2K Mnyama – Wewe Tu Mp3 Download, Talented Tanzanian Bongo Flava recording artist , singer, and songwriter, B2k is here with a song titled, Wewe Tu! Enjoy. Nyimbo Mpya za B2K
B2K Mnyama Wewe Tu Lyrics
Tujihadhari beiby
Ukijua umependwa wewe mpweke wewe
Tumia nafasi beiby
Ukijua umependwa nawe upende
Kwa style hii
Utamjuaje mpenzi anayekupenda wewe
Tumia nafasi hii beiby
Ujifunze kupendwa, utaishi mwenyewe
Unapenda sana kununa
Utaenda saa ngapi?
Na nikirudi salamu hakuna
Tunapendwa wangapi?
Nakupenda wewe tu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Nifanyie nafuu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Nakupenda wewe tu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Nifanyie nafuu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Kuna siku nilichelewa kuruta
Hujui nilikuwa wapi, aah we sema
Hujui nilikufanyia kusudi
Ina maana dhamani yangu huioni
Una shida nami kwani?
Mbona sielewi mami
Wakunieleza ni mi mami
Nijue unawaza ni?
Unapenda sana kununa
Utaenda saa ngapi?
Na nikirudi salamu hakuna
Tunapendwa wangapi?
Nakupenda wewe tu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Nifanyie nafuu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Nakupenda wewe tu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Nifanyie nafuu
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama mama eeh
Mama naona naona
Mapenzi maji ya moto yananichoma
Mama mama, (Mama mama eeh….)
Roho inaniuma niuma
Hata nisipofanya kosa wewe una nuna
Mama mama, (Mama mama eeh….)