Tip of the Day - Music
The annual Ngoma festivals, held in different regions, showcase the rich diversity of Tanzanian music, bringing together traditional groups and modern artists in a celebration of dance and sound.
Tommy Flavor – The One mp3 download, Tommy Flavor – The One Mp3 Download, Nyimbo ya Tommy Flavor – The One Mp3 Download, Nyimbo mpya za Tommy Flavor
Tommy Flavor – The One Lyrics
Olahh olahh
Onana nana nana
Oh nanana
Ukisikia mapenzi, ndo haya
Kuchi kuchi, mo fire
Umenibia kubi kubi, ka dawa iyehhh.
Hata moyo wangu, bure ntaugawa kwako!
Na kama uzuri unao, waoneshe iyehhh!
( baby waonyeshe)
Ouwohhh yeahh, waoneshe!
Ouwohh yeahh wahhh
Na tabia unayo, waoneshe iyehhh!
Ohhh wahhh
Tepe tepe kwako nshalowa kwenye shimo
Umetitoa sexy mama, nimeopoa ahhhhh
Ohh girl you the one, you the one
Love me double double, double double
Usiende kama wale, kama wale ehhh
Love me double double, double double
Nachanganyikiwa yako sauti,
Nshakufaga kwako mauti,
Nakupigiaga saluti, coz you one and only!
Vigelegele mama shauti,
Binti yako ntaoa siruki,
Kwa nafsi, risasi, bunduki
Ila ndo imeisha iyo !
Ohhh
na kama uzuri unao, waoneshe iyehhh!
( baby waonyeshe)
Ouwohhh yeahh, waoneshe!
Ouwohh yeahh wahhh
Na tabia unayo, waoneshe iyehhh!
(No doubting no question)
Ohhh wahhh
Tepe tepe kwako nshalowa kwenye shimo
Umetitoa sexy mama, nimeopoa ahhhhh
Ohh girl you the one, you the one
Love me double double, double double
Usiende kama wale, kama wale ehhh
Love me double double, double double