Audio: Pit Whizzy X Allim – Right Here
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Rapa Pit Whizzy anakukaribisha usikilize ngoma yake mpya ‘Right Here’ akiwa amemshirikisha Allim.
Bofya link hapa chini kusikiliza kazi hiyo, Pia usisahau kuacha maoni yako, Baada ya kumaliza kusikiliza.
Producer wa ngoma hii ni ItzPluspr.
Sikiliza hapa chini: