Music

Mac Voice – Nenda (Siri ya Mwezi) Mp3 Download

6233edbf23cb478ab5a301f6e079a541 464 464
Are you a Music music lover, its brand new day as we present the latest track to add to your playlist. Get ready for an unforgettable Music experience as we present a song Mac Voice Nenda (Siri ya Mwezi) .

Mac Voice - Nenda (Siri ya Mwezi) Mp3

Mac Voice – Nenda (Siri ya Mwezi) Mp3 Download,  Mac Voice – Nenda (Siri ya Mwezi) Mp3 Download, Nyimbo za Mac Voice.

Mac Voice Nenda Lyrics

(Ayolizer)

Mmmh siri ya mwezi

Siri ya nyota, siri ya angani

Siri ya njozi usingizi

Siri ya kitandani

Ila siri ya penzi, siri ya moyo

Siri ya nani?

Siri ya chozi ni maumivu ndani kwa ndani

Mapenzi niliyaanzisha yakanifurahisha

Yakanibadilisha jamani

Na sio tu kumridhisha

Nikamthaminisha, nikamtambulisha nyumbani

Sasa leo yamekwisha yananidhalilisha

Yananiaibisha hadharani

Ila yote ni maisha, japo nahuzunika

Eeh wa kuninyamazisha ni nani?

Sijuti kukufahamu, ila najuta kukuamini

Kasuku ndege wangu leo umekuwa bundi

Pokea zangu salamu, bado sijui nitapona lini?

Umevunja moyo yangu, we ndo ulikuwa gundi

Ile siku unafungasha mabegi

Ulidondosha picha yako jonjo

Ndo nayojilazia kwa bedi

Haki ya Mungu umenipiga zongo

Naomba msalimie shemeji

Haki ya nani amepata chombo

Na kama ukiskia nimedead

Jua ni mawazo msongo

Nenda, salama nenda

Nenda, salama nenda

Nenda, salama nenda

Nenda, salama nenda

Nikiwa na marafiki kwenye sura naongopa

Ila moyo unasota

Nikiwa peke yangu siwezi

Chozi linanidondoka

Nahisi kama naota

Hivi kweli umeondoka

Yanautesa moyo mapenzi 

Mpaka kupenda naogopa

Umesema hutaki tena kuiona sura yangu

Kwenye simu umefuta namba zangu

Ila jibu lipo kwa Mola wangu

Mi nasubiri

Kila baya unasema ukitaja jina langu

Umesahau yote mazuri yangu

Basi nilindie madhaifu yangu

Unisitiri

Sijuti kukufahamu, ila najuta kukuamini

Kasuku ndege wangu leo umekuwa bundi

Pokea zangu salamu, bado sijui nitapona lini?

Umevunja moyo wangu, we ndo ulikuwa gundi

Ile siku unafungasha mabegi

Ulidondosha picha yako jonjo

Ndo nayojilazia kwa bedi

Haki ya Mungu umenipiga zongo

Naomba msalimie shemeji

Haki ya nani amepata chombo

Na kama ukiskia nimededi

Jua ni mawazo msongo

Nenda, salama nenda

Nenda, salama nenda

Nenda, salama nenda

Nenda, salama nenda

(Nenda salama, oooh)

Mwenzako naogopa, ogopa iyeaaaaah 

Kila baya unasema ukitaja jina langu

Umesahau yote mazuri yangu

Basi nilindie madhaifu yangu

Unisitiri

Download

Alliance Video By Fally Ipupa
MP3
Stream or download the Music song Mac Voice Nenda (Siri ya Mwezi) . This catchy new song, which has been trending for the past 5 months ago has received around 541 views here on Nyimbo Mpya. Support good music by sharing it with your friends today for an unforgettable musical experience. You can also find more Music songs below.

New
Artists
Genre
Search