Audio | Mac Voice ft Rayvanny Leon Lee - Kama Staki (Pombe) Mp3 Download

2 months ago 5504
Audio | Mac Voice ft Rayvanny Leon Lee - Kama Staki (Pombe) Mp3 Download, download Nyimbo Mpya. Stream and Download Audio | Mac Voice ft Rayvanny Leon Lee - Kama Staki (Pombe) Mp3 Download on Nyimbo Mpya.

Mac Voice ft Rayvanny & Leon Lee - Pombe Mp3 Download

Mac Voice ft Rayvanny & Leon Lee - Kama Staki (Pombe) Mp3 Download, Stream and download this 2021 Amapiano banger from Mac Voice ft Rayvanny & Leon Lee tagged "Kama Staki a.k.a Pombe". You can download all Mac Voice Songs and Rayvanny here.

Mac Voice ft Rayvanny & Leon Lee -  Kama Staki (Pombe) Lyrics

Nataka pombe, nataka kulewa

Nataka pombe pombe, nataka kulewa

Eeh aiyoyoyo

(S2kizzy baby)

Eeh aiyeyeye

Aah aiyoyoyo

Eeh aiyeyeye

Kama, kama sitaki

Kama, kama sitaki

Nacheza kama, kama sitaki

Yaani kama ah ah kama sitaki

Wanoko washamba, nawacheka kwa dharau (kama sitaki)

Nishafuta namba wachawi wote nawasahau (kama sitaki)

Sinanga mawenge, siwajibu wakitoka (kama sitaki)

Sibishani na kenge, leta matusi nikublock (kama sitaki)

Nina-kunywa bia (kama sitaki)
Nina-kaba-mbia (kama sitaki)
Eh eh eh eh aiyoyoyo
Hio hio hio, aiyeyeye
Shuka shuka shuka, aiyoyoyo
Eh eh eh eh aiyeyeye
Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa
Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa
Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
Leta tulewe, zungusha tena, aiyeyeye
Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
Meza ipendeze, zungusha tena, aiyeyeye
Nakapa pombe kakishalewa ndo nakashika, (kama sitaki)
Napanda milima ghetto kileleni nafika, (kama sitaki)
Nina-kunywa bia, (kama sitaki)
Nina-kaba-mbia, (kama sitaki)
Oooh oooh oooh
Oooh oooh oooh
?
Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa
Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa
Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
Leta tulewe, zungusha tena, aiyeyeye
Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
Meza ipendeze, zungusha tena, aiyeyeye
(S2kizzy baby)

Download Now 5504