Lava Lava ft Mbosso – Basi Tu Mp3 Download

ab67616d0000b273016b4e9f1e52ae5af6efe6d2

Lava Lava ft Mbosso -  Basi Tu

Lava Lava ft Mbosso –  Basi Tu, Tanzanian recording artist signed WCB Wasafi record label, Lava Lava is here with his 2021 song titled Basi Tu, Enjoy! Nyimbo Mpya za Lavalava, Nyimbo Mpya za Mbosso.

Lavalava Basi Tu Lyrics

(Ayolizer)

Siku hizi hanipigii

Hata akikuta missed call zangu

Simu hashiki na akishika

Anauliza nani mwezangu

Mara anakata

Mara simu hewani haongei

Namaliza vocha

Anajizima data eti amepanda bei

Kunifanya ndodocha

Najitumisha message

Mara mbili mbili

Anafungua anasoma

Majibu hayarudi eh eh eh

Ila kwa Whatsapp page

Zaonyesha tiki mbili

Kujifanya hajaona

Ili mradi kusudi na kunidharau

Ananiringia ringia

Ananiringia ringia

Siku hizi ananiringia ringia

Ananiringia ringia

Anajua nampenda (Basi tu)

Anafanya kusudi kuniumiza (Basi tu)

Ili mradi kuniliza (Basi tu)

Anafanya kusudi kuniumiza (Basi tu)

Ili mradi kuniliza

Aah …aah …aah

Na dhalia hainaga suu

Yaliyosemwaga ya kale

Kufurahia kunguru nafuu

Wakigombana mbalale

Moyo unawaka moto kifuu

Yanichoma maumivu mshale

Enyi malaika mlio juu

Shusheni amani itawale

Nayamaliza madhehebu

Kusomewa madua

Mbolea imekausha mbegu

Imeshindwa chipua

Mtazame nampenda kwa sana

Leo unanifanya mi nalia

Ina maana ndo nimechokwama

Au jamaa sina fungu kwenye dunia

Najitumisha message

Mara mbili mbili

Anafungua anasoma

Majibu hayarudi

Ila kwa Whatsapp page

Zaonyesha tiki mbili

Kujifanya hajaona

Ili mradi kusudi na kunidharau

Ananiringia ringia (Ananiringia)

Ananiringia ringia (Ananidengulia)

Siku hizi ananiringia ringia

Anairusha rusha roho yangu

Ananiringia ringia

Anajua nampenda (Basi tu)

Anafanya kusudi kuniumiza (Basi tu)

Ili mradi kuniliza (Ila basi tu)

Anafanya kusudi kuniumiza (Basi tu)

Ili mradi, ila nenda

Nenda mwambie asante

Mwambie asante

Nenda mwambie asante

Mwambie asante

Nenda mwambie asante

Mwambie asante

(Kanifunza maumivu nilikuwa siyajui)

Nenda mwambie asante

Mwambie asante

(Ustahimilivu nisilipize uadui)

(Kwa Mix Lizer)

Download