Tip of the Day - Music
The Sukuma people have a popular traditional dance called Bugobogobo, where performers imitate the movements of different animals, including snakes and crocodiles, as part of their musical routines.
Ibraah – Wandoto, Tanzanian recording artist and Konde Music World Wide serial hitmaker, Ibraah has release of 2020 project tagged Wandoto, Ibraah – Wandoto Mp3 Download, Nyimbo Mpya za Ibraah
Ibraah Wandoto Lyrics
Nahisi kama naota
Na kumbe reality tayari
Aliyefanya nateseka
Ni wewe
Na nafsi inachochota
Najipa imani sijafeli
Nahitaji faraja
Hata chembe nipewe maa
Macho pembeni nisikupe pesa
Kwako yaani nishafika
Kumbe makucha uliyaficha
Na ushanikwarua ooh
Na zangu hisia umeziteka
Nilipokosea sawazisha
Usije hadharani kuanika
Ukaniumbua oh nah nah nah
Na nakuombea Mungu
Akuepushe na mabaya
Hali dhiki mafungu
Ila la kwangu ndo limepwaya
Nalia nalia kwa uchungu
Umenitoroka nyuma ya idhaya
Ni wewe japo nilikudhamini
Na nikakuitaga
Wandoto wandoto
Wandoto, wandoto
Ah ni wewe wa ndoto
Leo penzi umeliweka vikwanzo
Wandoto wandoto
Wandoto, wandoto
Wandoto uliyekuwa ni wewe
Na kichwa umekiachia mawazo
(Oooh ooh, aah yeiye)
Kweli usiku wa giza usilolijua
Sikuwaza, sikudhania kuwa utanibagua
Sa unafikiri nani wa kupika pakua
Ni wewe
Kishida kijiba cha roho mwenzako naugua
Haya no commando siwezi jipindua
Nawe ndo dereva umezamisha mashua
Ni wewe ni we eh
Ila mwenzako bado bado
Moyo unasonona
Manati bila kipago
Nikuulize wapi uliona
Mi nina uzoefu wa kufunga goal
Uvivu wa kufua foronya
Yaani siamini yes umegeuza no
Na kwako mi mtoto nahitaji nyonya
Wandoto wandoto (Ni wewe)
Wandoto, wandoto
Ah ni wewe wa ndoto
Leo penzi umeliweka vikwanzo
Wandoto wandoto
Wandoto, wandoto