Dayoo – Nikuone (Acoustic) Mp3 Download

ab67616d0000b27334cb908a42b4a1e27102076f

Dayoo - Nikuone (Acoustic)

Dayoo – Nikuone (Acoustic) mp3,  Dayoo – Nikuone (Acoustic) Mp3 Download, Tanzanian Bongo Fleva upcoming artist, singer, and songwriter, Dayoo is back with Acoustic of his song Nikuone. Enjoy! 

Dayoo Nikuone Lyrics

Naitwa maangi

Ona umenikaa kichwani ndoto zangu kuwa na wewe

Au kwan uko nchi gani ama upo far away

Au upo Puerto Rico china nambie nije ukoo mi

Maana mi natangatangaa kipofu nisioona mwangaa

Me simjui jina wala kabila ila nimezama

Nishawahi kumuona ila kwa fikira uzuri wake hakuna kama ye

Aaah ata nipige gita my love nikuimbie kutwaa am ready

Na ningeijua namba ata ningekucheki basi

Nipige gita my love nikuimbie kutwaa am ready

Ningeijua namba yako ata ningekucheki nikupigie wewe

Nikuone wewe

Am waiting for you nakusubiriii

Nikuone wewe

Ata nikiona mikono ntajua ni wewe tu

Nikuone wewe

Maana macho yako kama una aibuu

Nikuone wewe

Achana na mikono tuangalie miguu

Oh yeh ah olala

Na ulivyo special na aka kamoyo nikupe chotechote

Twende chuga uchagani ama unataka Dodoma twende kotee kotee

Nikupeleke kwa mama angu na kifutacho ndoa tuoanee

Na usitake ma drama ma kiki ya mitandao tuachane

Nipige gita my love nikuimbie kutwa am ready

Ningeijua namba yako ningekupigia wewe

Nipige gita my love nikuimbie kutwa am ready

Ata ningekucheki basi uje

Nikuone wewe

Am waiting for you nakusubri

Nikuone wewe

Ata nikiona mikono ntajua ni wewe tu

Nikuone wewe

Ata macho yako kama una aibuu

Nikuone wewe

Si tuangalie miguu

Wanamuita maangi

Download