B Gway – Mwaka Huu Mp3 Download

ab67616d0000b27387ce60fea02728049d6e7727

B Gway -  Mwaka Huu

B Gway –  Mwaka Huu Mp3 Download,  B Gway –  Mwaka Huu Mp3 Download,  B Gway –  Mwaka Huu Mp3 Download, B Gway –  Mwaka Huu #BGway

B Gway Mwaka Huu Lyrics

Assalam Alykum Ostadh
Assalam Alykum Ostadhat
Assalam Alykum Ostadh
Assalam Alykum Ostadhat

(Mwaka Huu) Mungu Anataka Kusema Na Wewe
(Mwaka Huu) Mungu Anataka Tenda Miujiza
(Mwaka Huu) Utanunua Nyumba Iwe Mwisho Kupanga
(Mwaka Huu) Utapata Mume Iwe Mwisho Kudanga
(Mwaka Huu) 
               
Bwana Yesu Asifiwe (Ameni)
Milele na Milele (Amen)
Bwana Yesu Asifiwe (Amen)
Milele Na Milele (Amen)
Shetani Akipita Teke Teke Teke Kule
Shetani Akipita Teke Teke Teke Kule

Assalam Alykum Ostadh
Assalam Alykum Ostadhat
Assalam Alykum Ostadh
Assalam Alykum Ostadhat

(Mwaka Huu) Umenunua Gari Eeeh (Mashallah)
Na Umewekwa Mwali eeeeh (Mashallah)
Umepata kibali Eeeh (Mashallah)
Hata Chips Kidari eeeh (Mashallah)

Bwana Yesu Asifiwe (Ameni)
Milele na Milele (Amen)
Bwana Yesu Asifiwe (Amen)
Milele Na Milele (Amen)
Shetani Akipita Teke Teke Teke Kule
Shetani Akipita Teke Teke Teke Kule

Assalam Alykum Ostadh
Assalam Alykum Ostadhat
Assalam Alykum Ostadh
Assalam Alykum Ostadhat


Download