Audio | Alikiba – WOSIA WA MAGUFULI | Download

1 year ago 796
Audio | Alikiba – WOSIA WA MAGUFULI | Download. Get ready for an unforgettable musical experience as we present new song by Audio | Alikiba – WOSIA WA MAGUFULI | Download Stream and download below.

Audio | Alikiba – WOSIA WA MAGUFULI | Download Song


Home Audio Audio | Alikiba – WOSIA WA MAGUFULI | Download

Moja ya Maneno Mazuri Uliyotuachia ni hotuba hii, ambayo Ulituambia Tutakukumbuka kwa Uliyoifanyia Nchi Yako, ulijitoa Kwa yote Kuiletea Nchi yako Maendeleo. Ulisisitiza Mshikamo, Tusibaguane Kwa Dini wala Ukabila. Mimi Kijana wako Natumia Maneno Yako Kukuenzi, na Kuwasisitiza Watanzania Wenzangu Kuyafanyia kazi yote uliyotuambia. Allah akuweke mahala pema Peponi Baba JPM.

Written & Performed by: Alikiba Audio

Produced By Yogo Beats

Download | Alikiba – WOSIA WA MAGUFULI [Mp3 Audio]

Download Now 796