https://www.youtube.com/watch?v=lVgzjDIldkc” frameborder=”0″ allow=”accelerometer; autoplay; clipboard-write; encrypted-media; gyroscope; picture-in-picture” allowfullscreen=””>
Tip of the Day - Music
Former President Julius Nyerere heavily influenced the music scene by promoting traditional African music and values, embedding Tanzanian identity into songs and artistic performances.
#rockstarafrica #aslay #bongoflava
I am happy to tell the Fans, Media and everyone who follows me that I have recently joined RockStar Africa @rockstarafrica .
It has been a long and promising journey in managing my music career.
So, I inform you to expect a lot in my music and to see me on a bigger stage.
I have every reason to thank Allah for the entire period that I was silent, I have certainly learned a lot .
I would also like to take this time to express my gratitude to each of you for the support you continue to give me in my music even when I was silent.
Thank you very much ❤️
Ninafuraha kuwaambia Mashabiki, Vyombo vya habari na kila anayenifuatilia kwamba hivi karibuni nimejiunga na RockStar Africa @rockstarafrica .
Imekuwa safari ndefu yenye matumaini makubwa katika kusimamia kazi zangu za muziki.
Hivyo basi, Nawaarifu kutegemea mengi makubwa katika muziki wangu na kuniona katika hatua kubwa zaidi.
Nina kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kipindi chote ambacho nilikuwa kimya, hakika nimejifunza Mengi .
Ningependa kuchukua wakati huu Pia kutoa shukrani zangu kwa kila mmoja wenu kwa support mnayoendelea kunipa katika muziki wangu hata wakati nilipokuwa kimya.
Asanteni sana ❤️