Askofu Shoo aonya viongozi wa dini wanaopinga chanjo ya Corona

1 month ago 178
Askofu Shoo aonya viongozi wa dini wanaopinga chanjo ya Corona, download nyimbo mpya. Download hapa Askofu Shoo aonya viongozi wa dini wanaopinga chanjo ya Corona.

Habari

Published on July 26, 2021

Mwenyekiti Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Dkt.Fredrick Shoo amehimiza wananchi kuendelea kujikinga na wimbi la tatu la Corona na kusisitiza kuendelea na maombi ya kufunga na kutubu, ili kujinusuru na janga hilo huku akiwaonya viongozi wa dini kuacha kuhusisha suala la chanjo ya Covid 19 na mpango wa shetani na kudai huko ni kumjaribu Mungu.

Chanzo: ITV

Related Topics:

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Comment

Name

Email

Website

Download Now