Are you a music lover looking for the latest track to add to your playlist? Look no further. Get ready for an unforgettable musical experience as we present a song by ASKOFU KAKOBE: MSIDANGANYIKE, PATENI CHANJO.
Askofu Zakaria Kakobe wa kanisa la FGBF ametoa wito kwa watanzania kuacha kusikiliza porojo, Pia amesisitiza uvaaji barakoa na kunawa maji tiririka na chanjo ili Mungu aendelee kufanya mipango yake.